Tunakusisitiza kusambaza tovuti ya asasi yako na watu wengine wengi - wanajamii, mashirika ya ubia, na wanachama wako wenyewe! Tovuti ya asasi yako itakuwa muhimu zaidi kama watu zaidi waijue, na waitumie ili kushirikiana na asasi yako. Kwa hivyo, waambie watu kuhusu tovuti yako! Vile vile, tunapendekeza uongeze anwani ya tovuti ya asasi yako kwa alama na barua za asasi yako. – (image) – Kupitia Envaya, ni rahisi kusambaza ukurasa wowote wa tovuti...(This translation refers to an older version of the source text.)