About
Explore
Search
Volunteer
Updates
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Log in
/MYAAG-MTWARA/news
: English
Base
English
MYAAG inakusudia kuwezesha mafunzo ya ujasiliamli kwa kamati za mtaa za kuhudumia watoto waishio katika mazingira hatarishi. mafunzo yatafanyika kuanzia mwezi juni 2011. – Myaag inakusudia kuendesha mafunzo ya matumizi sahihi ya kondomu kwa jamii kupitia maeneoya Bar, kuanzia majira ya saa 1;00 na kuendelea. – Jina la mradi SALAMA NIGHT. Mradi utatekelezwa kuanzia mwezi juni 2011.
MYAAG ujasiliamli intends to facilitate training for local committees to cater for children living in risky environments. training will be held from June 2011. – Myaag intends to run the training of proper use of condoms to the community through maeneoya Bar, from the time of 1 hour, 00 and older. – Name of Project SAFE NIGHT. The project will be implemented from June 2011.
Edit