Fungua

/MYAAG-MTWARA/news: Kiswahili

AsiliKiswahili
MYAAG inakusudia kuwezesha mafunzo ya ujasiliamli kwa kamati za mtaa za kuhudumia watoto waishio katika mazingira hatarishi. mafunzo yatafanyika kuanzia mwezi juni 2011. – Myaag inakusudia kuendesha mafunzo ya matumizi sahihi ya kondomu kwa jamii kupitia maeneoya Bar, kuanzia majira ya saa 1;00 na kuendelea. – Jina la mradi SALAMA NIGHT. Mradi utatekelezwa kuanzia mwezi juni 2011.(Bila tafsiri)Hariri