MYAAG inakusudia kuwezesha mafunzo ya ujasiliamli kwa kamati za mtaa za kuhudumia watoto waishio katika mazingira hatarishi. mafunzo yatafanyika kuanzia mwezi juni 2011. – Myaag inakusudia kuendesha mafunzo ya matumizi sahihi ya kondomu kwa jamii kupitia maeneoya Bar, kuanzia majira ya saa 1;00 na kuendelea. – Jina la mradi SALAMA NIGHT. Mradi utatekelezwa kuanzia mwezi juni 2011. | MYAAG ujasiliamli intends to facilitate training for local committees to cater for children living in risky environments. training will be held from June 2011. – Myaag intends to run the training of proper use of condoms to the community through maeneoya Bar, from the time of 1 hour, 00 and older. – Name of Project SAFE NIGHT. The project will be implemented from June 2011. | Edit |