Envaya
/LIC/post/25367
: Kiswahili
Asili
Kiswahili
Maoni yetu ni kuendeleza mafunzo haya katika kata zingine na kuendelea kufuatilia maendeleo ya mradi.
(Bila tafsiri)
Hariri
Jamii ikishirikishwa kikamilifu inakuwa na moyo wa kujitolea na kushiriki katika shughuli za maendeleo
(Bila tafsiri)
Hariri
Tumeweza kufanikisha mradi wetu katika kata za Kalambazite, Miangalua na Kipeta kuzijengea uwezo kamati za huduma za jamii na wamweza kuanzisha mifuko ya kijamii yenye lengo la kusaidia makundi ya kijamii yalio katika hatar ya kuathiriwa na umasikini
(Bila tafsiri)
Hariri