hawa ni watoto wanaoishi katika maisha mangumu tu naomba ushilkiano wa kalibu ili kufanikisha malengo ya watoto hawa. hapa tukiwa kwenye tukio la kusajili na kuweka tarifa za watoto.