Log in

/HROV/post/25: English: WIQEDCTfp5f5bJGx51965UJr:content

« Previous   ·   Next »
Base (English) English

WATOTO WANAHITAJI  NINI  KUTOKA KWA WALEZI NA VIONGOZI

Kutoka kwenye Familia:

kulishwa,usafi,kuvalishwa,kuwekwa salama na kuwa katika hali njema.lishe bora pamoja na  mlo kamili na kunyonya maziwa ya mama hadi  kufikia  miaka miwili ni muhimu kwa ajili ya kukua kwa mwili na ubongo. kuhakikisha usalama wa mtoto  kimwili kwa kumuweka kwenye mazingira salama ya kuishi, yenye ulinzi dhidi ya ajali na unyanyasaji,pamoja upatikanaji wa huduma za Afya.mapenzi na kuwa karibu  na mlezi mwenye upendo.sisi kama shilika tunahakikisha kwamba kila mtoto anapata haki za musingi kwa kuhamasisha kwa jamii kuwapeleka shule na kuwalida.pia tutahakikisha kuwa kila walezi,wazazi, wanatambua haki za mtoto wanazifahu. mwisho tunakalibisha mashilika mbalimbali yanayotetea haki za mtoto kutushika mikono katika hii huduma pia kwa watu wnaojitoa kusaidia wahitaji tunawakalibisha.Asanteni

(Not translated)

In order to edit translations, you need to log in. Log in · Register