About
Explore
Search
Volunteer
Updates
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Log in
/Tawa/post/100139
: English
Base
English
Interview 4 – 1.Unaishi eneo gani?! – Keko mwanga 'A' – 2.Mtaa wako unahitaji kitu gani sana sana?! – Kutengeneza mifereji,kudhibiti na kubomoa watu waliojenga bila mpango maalumu. Tuliopo mabondeni tuhamishwe maeneo bora zaidi. 3.Mafuriko yameleta athari gani kwenye nyumba unayoishi na vitu vyako?! – Mali zangu zote za ndani zimepotea,vifaa vya kazi yangu kama mashine ya kuranda...
(Not translated)
Edit