Log in

/Tawa/post/102956: English: WI00034B2705EB6000102956:content

« Previous   ·   Next »
Base (Swahili) English

MAMBO TULIYOJUMUISHA KWA WIKI HII.

kwanza kabisa tunaishukuru serikali kwa kumaliza mgomo wa ma daktari uliodumu takribani wiki tatu.Hii imetufundisha kuwa katika kudai haki ni lazima uchukue hatua zinazokubalika ili chombo husika kiweze kutambua suala husika 

tumeshuhudia watu walioathirika kwa kiasi kikubwa ni wanawake na watoto,kwani asilimia kubwa ya watoto wanaolazwa ni akina mama ndio wanao wajibika kuwauguza na akina baba wakiwa katika shughuli zao nyingine .Hivyo tunaiomba serikali kushughulikia migogoro  mapema baina yake na makundi mbali mbali ili kunusuru akina mama na watoto.

  Migomo ni dalili ya ukosefu wa haki na usawa wa mgawanyo wa rasilimali tulizonazo,kwa hali hiyo asasi za kijamii na wanaharakati mbali mbali wanatakiwa kufanya kazi ya kuelimisha wananchi na jamii kwa ujumla ili kufahamu haki na usawa wa rasilimali tulizonazo pamoja na mgawanyo wake uko vipi.

TULIYOJUMUISHA THINGS FOR THIS WEEK.

first of all, we thanked the government for a doctor to end a strike that lasted nearly ma tatu.Hii week imetufundisha be in charge, that it must take steps acceptable to the relevant agency be able to identify the relevant issue

We have seen people affected mostly women and children, since a large percentage of children who are hospitalized are mothers are those who are responsible kuwauguza and fathers with their next activity. So we asked the government to address conflicts in advance between the two groups different in order to save mothers and kids.

Strikes are a sign of lack of fair and equitable distribution of resources we have, for such civil society organizations and activists far away they have to work to educate the public and society in general to understand the rights and equality of resources we have with the distribution of it is how.


In order to edit translations, you need to log in. Log in · Register

Translation History

Google Translate
February 11, 2012
TULIYOJUMUISHA THINGS FOR THIS WEEK. – first of all, we thanked the government for a doctor to end a strike that lasted nearly ma tatu.Hii week imetufundisha be in charge, that it must take steps acceptable to the relevant agency be able to identify the relevant issue – We have seen people affected mostly women and children, since a large percentage of children who are hospitalized are mothers are those who are responsible kuwauguza and fathers with their next...