Log in

/Tawa/post/102956: English

BaseEnglish
Tunaomba makundi mengine ya wanawake kuiga mfano wa bi Kijo Simba, na Annanilea Nkya kwa ujasiri waliouonyesha pia upendo na kujali maisha ya watanzania wengine.We ask other groups of women to emulate the example of bi Kijo Lion, and Annanilea Nkya who demonstrated the courage to also love and respect the lives of other Tanzanians.Edit
Tunawapongeza wanaharakati waliojitokeza kuonyesha hali ya kujali kwa kuandamana kuishinikiza serikali kumaliza mgomo wa madaktari ,hii imeonyesha kuwa kati ya wanaharakati waliojitokeza ni wanawake TAMWA, LHRC.TGNP na wengine ambao wameonyesha kuguswa kwa matatizo mbali mbali yaliyojitokeza wakati wa sakata hilo. Hii imeonyesha kuwa wanawake ni jasiri na tunaweza pia.Tunawapongeza activists who turned out to show the state of matter from marching to urge government to end the strike by doctors, this has proved to be among the activists who met women TAMWA, LHRC.TGNP and others that have been shown to react with various problems encountered during this strike. This has shown that women are brave and we can too.Edit
Wanawake tujengeane uwezo na tuwe na nguvu ya pamoja ili tutetee jamii ya watanzania .Women tujengeane ability to be strong together to tutetee Tanzanian society.Edit
MAMBO TULIYOJUMUISHA KWA WIKI HII. – kwanza kabisa tunaishukuru serikali kwa kumaliza mgomo wa ma daktari uliodumu takribani wiki tatu.Hii imetufundisha kuwa katika kudai haki ni lazima uchukue hatua zinazokubalika ili chombo husika kiweze kutambua suala husika – tumeshuhudia watu walioathirika kwa kiasi kikubwa ni wanawake na watoto,kwani asilimia kubwa ya watoto wanaolazwa ni akina mama ndio wanao wajibika kuwauguza na akina baba wakiwa katika shughuli zao...TULIYOJUMUISHA THINGS FOR THIS WEEK. – first of all, we thanked the government for a doctor to end a strike that lasted nearly ma tatu.Hii week imetufundisha be in charge, that it must take steps acceptable to the relevant agency be able to identify the relevant issue – We have seen people affected mostly women and children, since a large percentage of children who are hospitalized are mothers are those who are responsible kuwauguza and fathers with their next...Edit