Envaya
/TVSP/news
: Kiswahili
Asili
Kiswahili
Tareh 19 mwezi huu Bodi imepanga kukaa kikao kwa ajili ya kupanga mikakati ya miradi ya maendeleo.
(Bila tafsiri)
Hariri
Wiki hii tuliongelea kuhusu bodi ya utendaji kuchambua katiba pamoja na wanachama wote.
(Bila tafsiri)
Hariri
J'pili kutakua na mkutano katika ukumbi wa railway club saa 4 asubuh kwa wanachama wote na hata wanaotaka kujiandikisha uwanachama munakaribishwa nyote..
(Bila tafsiri)
Hariri