Kuhusu
Peleleza
Tafuta
Jitolee
Mabadiliko
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Fungua
/pofadeo/history
: Kiswahili
Asili
Kiswahili
Jumuiya ya The Poultry Farmers Development Organization (POFADEO) ni jumuiya ya wafugaji iliyoanzishwa na wafugaji wakishirikiana na baadhi ya wataalamu wa mifugo. Jumuiya hii ilianzishwa kwa lengo la kuandaa mazingira bora ya ufugaji ili wafugaji hususan wa kuku na jamii za ndege waweze kuendeleza shughuli zao za ufugaji kwa ufanisi zaidi. – Jumuiya ya POFADEO tangu kuasisiwa kwake miaka kumi iliyopita, imefanya kazi nzuri ya kuwashajiisha wafugaji kuendeleza shughuli za...
(Bila tafsiri)
Hariri