Ibitwerekeyeho
Ikarita
Shakisha
Korera ubushake
Inkuru
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Injira
/uwane/news
: Kinyarwanda
Base
Kinyarwanda
Asasi ya uwane Newala inakualika kwenye mkutano mkuu wake mwezi August, 2011 kuanzia saa3.00 asubuhi. Tafadhali thibitisha kuhudhuria kwako. Toka Katibu Mtendaji.
(Not translated)
Hindura
UWANE ilianzishwa mwaka 2oo1 kwa kuanza na wanachama 25. Hivi sasa Umoja una wanachanma wapatao 62 walio hai. Umoja una uongozi uliokamilika ukiwa na Mwenyekiti Makamu mwenyekiti, Katibu Mtendaji,KATIBU Msaidizi, Mweka Hazina na wajumbe l5 wanaounda Kamati ya Utendaji ambao hukutana mara moja kila mwezi. Vile vile kuna mkutano mkuu wa wanachama wote kila mwaka mwezi Desemba. Asasi hii ilisajiliwa mwaka 2oo2 mwezi Desemba tarehe l6 ns kupewa Hati ya Usajili...
(Not translated)
Hindura
Uwane inakaribisha wafadhili mbali mbali wa nje na ndani kusaidia Asasi hii kwa kuipa ufadhili ili iweze kutoa huduma kwa walengwa hasa wastaafu na wazee wa Wilaya ya Newala katika kuboresha afya zao na maisha kwa ujumla. Karibuni sana
(Not translated)
Hindura