Shirika la SOCOETY FOR WOMEN AND AIDS INA AFRICA (SWAA) linapenda kufanya kazi na watu mbalimbali wa kujitolea maeneo ya vijijini hasa wilaya ya Mvomero Wilaya hii ipo katika mkoa wa Morogoro, na kwa sasa shrika linaendesha mafunzo juu ya Haki za Binadamu hususani sheria za watoto. Elimu hii kwa sasa inatolewa katika kamati za shule, wazazi na walezi wawatoto waishio vijijini. TUNAKARIBISHA MAOMBI YA WATU WENYE LENGO LA KUJITOLEA KATIKA SHIRIKA LETU KUTOKA NJE YA TANZANIA KWA SABABU... | (Not translated) | Hindura |