Kuhusu
Peleleza
Tafuta
Jitolee
Mabadiliko
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Fungua
/tuamke/post/7
: Kiswahili
Asili
Kiswahili
(image) – Katika kuhakikisha kuwa tuna kuwa na vijana bora wenye uwezo wa kupanga mipango kuisimamia na kuitekeleza ili kujiletea maendeleo chanya. Mikakati mbalimbali inafanyika kupitia Chanika Tuamke Youth Organization (CTYO) ili kuhakikisha vijana wanapata haki zao za msingi. – Pia Chanika Tuamke Youth Organization (CTYO) Imeanza mkakati wa kutaka kuanzisha Mfuko wa Maendeleo ya vijana CTYO Mfuko huu una malengo mbalimbali yakiwemo kuwa saidia...
(Bila tafsiri)
Hariri
Wafadhili
(Bila tafsiri)
Hariri