About
Explore
Search
Volunteer
Updates
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Log in
/bakwatagr/post/16
: English
Base
English
(image) – KATIBU wa BAKWATA Wilaya Gairo mwenye Sweta akiwa na Eng. Nasoro Kindamba wakiwa katika harakati za kupima jengo la Shule katika mradi wa ujenzi wa Shule Kimashale Wilayani hapo. Aidha Katibu wa Wilaya anatoa wito kwa Wadau na Waislam wote kushiriki katika kuchangia ujenzi wa Shule Hiyo ya umma wa Kiislam. Ujenzi wa Shule ni ghari sana unahitaji mabilioni ya hele hivyo inahitaji mshikamano haswa wa Kiimani ili kufanikisha hivyo tunatoa wito sote...
(Not translated)
Edit