Injira

/fmzeituni/post/59402: Kinyarwanda: WIkTJIszFIlIX0z2P171r2BN:content

« Inyuma   ·   Ahakurikira »
Base ((ururimi rutazwi)) Kinyarwanda

large.jpg

Ndugu Martine Mziba,afisa wa Idara ya maji akifungua kikao kifupi na kuwatambulisha wageni kutoka wizara ya majiĀ  na ofisi ya waziri mkuu TAMISEMI walipokuwa katika kitongoji cha KIZULE kata ya Ngoma jana 14/06/2013 eneo ambalo Mzeituni Foundation kwa kushirikiana na idara ya maji wamekuwa wakitekeleza zoezi la usajili wa vyombo vya watumiaji maji. Jumuiya ya watumiaji maji KIZULE wamekuwa mfano mzuri kwani kwa pamoja na kwa kushirikiana na wananchi wameweza kujiwekea kanuni na taratibu za chombo chao.

(Not translated)

Kugirango ugire icyo uhindura kubyo wasemuye, ugomba kwinjira mu rubuga Injira · Iyandikishe