(image) – Siku ya mjadala wa utoaji maoni ya rasimu ya katiba mpya katika hoteli ya DABUYA tarehe 3-4/8/2013.
Mjadala huu uliandaliwa kwa ushirikiano wa Mzeituni Foundation na CHAWATA Mkoa wa
Mwanza,na kuwaleta pamoja wawakilishi wa walemavu kutoka makundi mbalimbali katika
wilaya za Magu,Ukerewe,Karagwe,Ilemela na Nyamagana.
Mjadala ulifunguliwa na Mwenyekiti wa Chama Cha Walemavu Tanzania Mkoa wa
Mwanza.Katika ufunguzi wake mwenyekiti aliwahimiza na... | (Not translated) | Hindura |