Base ((unknown language)) | English |
---|---|
Mheshimiwa Freeman Mbowe(kiongozi wa kambi rasimi ya upinzani Bungeni),akisaini daftari la wageni mbele ya mkurugenzi mtendaji Ndg Meshack Masanja na Chrispine Ferdinand(Program Officer,Mzeituni Foundation) katika banda la Mzeituni Foundation wakati wa maonesho ya ASASI ZA KIRAIA,bungeni Dodoma mwezi May/2013.Maonesho ambayo yalifunguliwa rasimi na Mh;Anna Makinda Spika wa Bunge la Jamhuri th 28/05/2013 na kufungwa na naibu waziri wa Maendeleo ya jamii th 30/05/2013 |
(Not translated) |