Ni masikitiko yetu kuwa nchi hii sasa siyo Tanzania aliyotuachia marehemu baba wa Taifa,marehemu Mwl.Julius Kambarage Nyerere. – Matukio ya uvunjifu wa AMANI yanazidi kila kukicha.Wito wetu ni kuwa AMANI,tuliyo nayo ni sisi wenyewe tutakaoamua iendelee ama itoweke. – Chonde,watanzania,tujitafakari ni wapi tulipokosea tukaparekebishe maana sisi ni wamoja. – MUNGU IBARIKI,TANZANIA................. | (Bila tafsiri) | Hariri |