About
Explore
Search
Volunteer
Updates
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Log in
/fmzeituni/topic/123573/add_message
: English
Base
English
Hi! Mzeituni kwanza hongereni kwa kazi nzuri mnayoendelea kufanya katika harakati za kuiletea Tanzania maendeleo kama wadau muhimu kutoka ASASI ZA KIRAIA. – Namimi nampongeza Rais kwa hatua hiyo nzuri kwani ametoa mwongozo na nafasi ya Tanzania kama nchi dhidi ya yale yote yaliyokwisha semwa na hata wngine wasio na nia njema na shirikisho letu lakini kwa hili atakuwa amewajibu na wamekipata. – Kuna umuhimu mkubwa wa mashirikiyo na kuwa katika jumuiya kama hii ya...
(Not translated)
Edit
Ukweli tumefurahishwa kwa kiasi kikubwa na HOTUBA ya mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndg.Dr.J.M.Kikwete jana akiwa Ukumbi wa BUNGE mjini DODOMA.Ni hotuba iliyojibu hoja nyingi zilizokosa majibu na zilizoleta sintofahamu miongoni mwa watanzania hasa tuliozoea umoja na ushirikiano tukiwa na sifa ya pekee ya ukarimu hasa pale tulipogubikwa na hali ya kutengwa katika jumuiya ya Afrika ya Mashariki. – Mheshimiwa Rais pamoja na mabo mengine aliweza kulizungumzia...
(Not translated)
Edit
UTAWALA BORA KATIKA TANZANIA
(Not translated)
Edit