Kuhusu
Peleleza
Tafuta
Jitolee
Mabadiliko
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Fungua
/epa-ukimwi/post/107776
: Kiswahili
Asili
Kiswahili
Jumla ya wanavikundi 20 wanaotoa huduma za wagonjwa majumbani – HBC attendants, wamepatiwa mafunzo ya rejea ya huduma zao – ili kuboresha stadi zao. Hii inafuatia mafunzo ya msingi waliyopatiwa – mnamo mwaka 2006. Ni matarajio ya asasi kuwa utendaji wao utaboreka – na kuleta manufaa kwa jamii wanazozihudumia.
(Bila tafsiri)
Hariri