Asasi ya Epa Ukimwi inaandaa warsha ya siku 6 itakayowahusisha wadau mbalimbali wa mapambano dhidi ya Ukimiw. Warsha hii itahusu kujadili mila na tanaduni zinazotumiwa na jamii bila yenyewe kujua kuwa iko katika hatari ya kupata maambukizi ya Ukimwi. Wahusika wakuu watakuwa ni wale ambao kwa namna moja wanahusika katika kuzitekelza mila na tamaduni hizo. – Aidha warsha pia itawaalika wataalamu mbalimbali watakaotoa mada zinazohusu maambukizi ya VVU na... | (Not translated) | Hindura |