CDDF Tanzania (Cooperation,Development and Deliverance Foundation) ni shirika la USHIRIKIANO,UKOMBOZI NA MAENDELEO nchini Tanznia. – COOPERATION:Tunashauri,tunahamasisha,tunaanzisha na kusimamia shughuri za pamoja za kijamii zenye kuleta mabadiliko na maendeleo kwa ujumla. – DEVELOPMENT:Tunatoa elimu na kuanzisha miradi ya kupambana na umasikini. – DELIVERANCE:Tunashirikiana na jamii katika kujikomboa kwenye majanga... | (Not translated) | Hindura |