Ibitwerekeyeho
Ikarita
Shakisha
Korera ubushake
Inkuru
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Injira
/AUG/post/24800
: Kinyarwanda
Base
Kinyarwanda
Je ungependa kujifunza jinsi ya kupata samaki wazuri wasio na sumu pia rahisi na kwa gharama kidogo sana kuwafuga?basi usisite kutuuliza maswali au kututembelea kwa kuangalia mawasiliano yetu na pia tunashughulika na ufugaji wa aina mbalimbali kama kuku wa kienyeji kufugwa katika maeneo madogo lakini wengi na wazuri na pia wanaoweza kufikia hata kilo nane kwa muda mfupi?tuulize
(Not translated)
Hindura
(image) – Mifugo ni mojawapo wa mihimili mikubwa hapa kwetu Tanzania kama itatumiwa vizuri kwa chakula na biashara.Ndama huyu amezaliwa muda sio mrefu katika mikulima huyu wa maeneo ya Tegeta Dar es salaam Bwana KIbona.
(Not translated)
Hindura