Kuhusu
Peleleza
Tafuta
Jitolee
Mabadiliko
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Fungua
/AUG/post/103320
: Kiswahili
Asili
Kiswahili
Pamoja na mikutano na wanakijiji wa Singino kule Kilwa lakini tulipata bahati ya kutembelea wajasiriamali ambao wanapata kipato chao kwa njia ya uvuvi wa Maliasili za bahari.Wako duni sana hawana vifaa vya kuvulia na ili kuwatoa huko ni kwa kuwafundisha njia hii ya ufugaji wa samaki wa maji chumvi kwa njia ya kitaalamu zaidi ndio maana tumechukua eneo kwa kushirikiana nao basi tuache mazalia ya bahari yasiharibiwe ovyo kwa vifaa duni na badala yake tutumia njia mbadala ya kufuga kwa maji...
(Bila tafsiri)
Hariri
(image) (image) Asasi yetu ina mambo mengi inayofanya kuona kuwa wale ambao wapo katika asasi hii wanapata shughuli mbalimbali za kufanya.Kama ambavyo tulishaeleza kuwa tuna projects mbalimbali tunazoendesha na nyingi ya projects hizo ni pamoja na Training na mafunzo kivitendo.Tuliamua kutafuta eneo kule Matipwili kwa ajili ya ufugaji wa samaki wa maji baridi kwa kutumia mto Wami lakini pia tuna eneo la ufugaji wa samaki wa Bahari.Huko Kilwa na hapa ni...
(Bila tafsiri)
Hariri
Ni vipi watu kama sisi ambao tunataka kupata elimu kuhusu ufugaji wa samaki 2tajuaje wakati nyie mmefundishwa 2naona picha pia mmefundishwa na bwana kissai kwani hamuwezi kuandika hicho – mlichojifunza na mimi nijifunze
(Bila tafsiri)
Hariri
kwa jina naitwa Steven S. yohana,ni Afisa uvuvi kilwa kivinje,nimefulahi sana kuona kwamba mnaendelea kutoa elimu inayohusu ufugaji wa samaki. Ni kweli kwamba samaki wamekua wakitegemewa na jamii nyingi Duniani kwa ajili ya chakula na kipato.Kutokana na kuongezeka kwa mahitaji ya samaki pamoja na mazao yake na kukua kwa teknolojia ya uvuvi.shughuli za uvuvi katika maji ya asili zimeongezeka kwa kiwango kikubwa ,hali hii imesababisha kupungua kwa kiwango kikubwa cha rasilimali za uvuvi...
(Bila tafsiri)
Hariri
Vijana wa Africa Upendo Group wamekuwa wakikutana mara kwa mara kujadiliana maswala mbalimbali yanayohusu vijana. – kutokana na wimbi la vijana wengi ambao wanamaliza vyuo vikuu lakini kutokana na mashirika na serikali kung'ang'ania kuwa vijana hawa wawe na uzoefu katika kazi na kwa kuzingatia kuwa vijana hawa ndio kwanza wanatoka kwenye vyuo wamekuwa katika kuhangaika sana. – Katika asasi yetu ya Africa Upendo Group tumekuwa na kitengo maalum cha kuwasaidia vijana...
(Bila tafsiri)
Hariri