Mapambano dhidi ya umasikini na UKIMWI Ni shirika lisilo la kiserikali lililo anzishwa tangu mwaka 2006 na watu wachache waishio na VVU / UKIMWI wazo la kuanzisha asasi hii lilikuja baada ya kutafakari changamoto mbalambali zinazowakabili watu waishio na vvu /ukimwi ktk maisha yao kwa ujumla Hii ilipelekea kuanzishwa kwa mradi wa bustani ya mbogamboga ili kujipatia mbogamboga kwa ajili ya lishe lakini pia wanachama wameweza kuanzisha mradi wa ufugaji wa mbuzi wa asili... | (Not translated) | Hindura |