MAISHA PA1 ni taasisi iliyoanzishwa na vijana wenye taaluma mbalimbali wakiwemow walimu,wakufunzi wa ujasiriamali, wanahabari, wataalamu wa maswala ya jamii,afya na wasanii. – LENGO – kutoa elimu ya mtazamo chanya kwa jamii kuhusiana maswala mtambuka kama vile afya ya mama na mtoto, ukimwi, usalama barabarani. | (Not translated) | Edit |