mtandao wa wanawake viziwi huelimisha na kuwawezesha wanawake viziwi kuhusu kufahamu haki zao. – kuhakikisha wanawake viziwi wanapata elimu kuanzia awali mpaka chuo kikuu. – kuwakomboa wanawake viziwe kutokana na umasikini na mfumo dume. | (Bila tafsiri) | Hariri |