Base (Swahili) | English |
---|---|
NURU CLUB TAARIFA YA MAFUNZO YA YA UJASILIA MALI May 2010 YALIYOMO 1. Utangulizi 2 Lengo kuu la mradi 3 Madhumuni 4 Walengwa. 5 Utambuzi wa washiriki. 6. Mada zilizofundishwa 7 . Wawezeshaji 8. Mafanikio. 9 . Matatizo yaliyoibuka /changamoto. 10 Mambo tuliyojifunza/kugundua. 11. Matarajio. 12 Mabadiliko yaliyojitokeza NURU NURU CLUB . MRADI WA HAKI YA MWANANCHI TAARIFA YA YA MAFUNZO YA UJASILIA MALI KWA WATU 35 YALIYOFANYIKA KIWALANI MAY 2010 Utangulizi NURU CLUB ni asasi ya watu wanaoishi na VVU/UKIMWI,asasi hii ni mdau kwenye kutekeleza mradi wa haki za mwananchi unaoisimamiwa na shirika la AMREF chini ya ufadhili wa shirika la nchini Uingereza lijulikanalo kama DFID. Mradi huu unafanyika katika kata tatu ambazo ni Kiwalani iliyopo Ilala , Tandale na Manzese zilizopo katika wilaya ya Kinondoni. Mafunzo haya ni mwendelezo wa mafunzo yaliyofanyika mwaka jana ambapo tulitakiwa kutoa mafunzo kwa watu 75 lakini hatukuweza kufikia idadi hiyo kwa sababu fedha iliyokuwa imetengwa kwenye shughuli hiyo ilikuja pungufu haikutosheleza hivyo ilitubidi kutoa maafunzo kwa watu 45 na wale waliobaki 35 ndio tumewapatia mafunzo kwenye robo ya mwisho na kufikia idadi ya waliofikiwa kuwa 80. LENGO KUU LA MRADI WA HAKI ZA MWANANCHI: Ni kuboresha upatikanaji wa huduma za afya ,matibabu pamoja na matunzo kwa watu wanaoishi na VVUna UKIMWI na wale wanaoathiriwa wa UKIMWI hasa wanawake ,viziwi pamoja na wale wanaofanya biashara za ngono. Katika kutekeleza mradi huu asasi ya NURU iliendesha mafunzo ya siku mbili ya ya ujasilia mali kwa watu 35. Mafunzo haya yalifanyika katika kata KIWALANI ambapo washiriki walitoka kwenye kata husika.Tuliweza kufundisha wanawake 25 na wanaume 20 LENGO KUU LA MAFUNZO YA UJASILIAMALI- Kuwajengea waviu uwezo wa kusimamia na kuendesha biashara ndogondogo kwa lengo la kuwasaidia kujikwamua kiuchumi kwa kutumia rasilimaili na fursa zinazopatikana kwa mfano mikopo midomidogo. Lengo lingine ni kuwajengea uwezo ili waweze kuwa na mbinu za kubuni na kuanzish na kuisimamia miradi yao. MADHUMUNI YA MAFUNZO; Kuwajengea WAVIU uwezo na mbinu mbalimbali za kuweza kuibua,kubuni na kuzisimamia biashara zao kitaalamu. WALENGWA Ni watu wanaoishi na VVU na UKIMWI kutoka katika kata 3 za Tandale, Manzese na Kiwalani ambako ndiko mradi unakotekelezwa.Uchaguzi wa washiriki wa mafunzo haya uliwalenga zaidi wale waliokuwa na biashara zao ndogondogo,ili waweze kupata mafunzo na waweze kuendesha biashara zao kwa ufanisi zaidi. UTAMBUZI WA WASHIRIKI ULIVYOFANYIKA. NURU CLUB kushirikiana na viongozi wa PTCs ndogondogo 12 tuliweza kuchambua kutoka kwenye daftari la majina ya wanachama wa asasi yetu na kufanikiwa kupata majina ya washiriki wote kwa uwiano sawa kulingana na sehemu mradi ulikolenga.Utaratibu huu tunao siku nyingi na umekuwa ukitoa mafanikio mazuri sana Register yetu ina jina la kila mwanachama ,namba yake ya simu,kata aliyotoka na wilaya. MAFUNZO YALIYOFANYIKA. NURUCLUB iliandaa mafunzo ya ujasilia mali kwa siku mbili na tulifundisha watu 35, wakiwemo wanawake 20 na wanaume 15. MADA ZILIZOFUNDISHWA. 1.Jasilia mali ni nani? Hapa tuliwawezesha wanawarsha kuweza kuelewa wajasilia mali ni akina nani ambapo tuliona kuwa neno ujasiliamali kiujumla lina maanisha kujitolea,kukubali kuanzisha shughuli mpya ambazo ni za kibunifu na kivumbuzi. 2.Kwa nini watu huwa wajasilia mali? Tuliwawezesha kujua sababu zinazopelekea watu kuwa wajasilia mali ambapo tuliona ni ili kuinua vipato na kuondokana na hali duni ya maisha . 3.Jinsi gani ya kuwa mjasilia mali hapa tuliwaelimisha kuhusu tabia wajasilia mali ambapo tabia hizo ni kujiamini wenyewe,kuwa na msimamo,wabunifu na wavumbuzi,wenye bidii na wenye uwezo wa kubadilisha mipango na malengon 4 .Dhana au wazo zuri la ujasilia mali Waliwezeshwa namna ya kutambua na kubuni mbinu mbalimbali za kiujasiliamali 5.Hatua za kufuata ili mtu kuwa mjasilia mali. Hapa waliwezesha kutambua hatua mbalimbali za kufuata ili kuwa wajasilia mali WAWEZESHAJI WA MAFUNZO Mafunzo haya yaliwezeshwa na wafuatao:- 1 Elizabeth sangu Mshauri /TOT 2. Fortunata Lyuki Mshauri/TOT Wawezeshaji hawa wamepatiwa mafunzo mbalimbali kupitia program za AMREF ,PASADA na chuo cha biashara (CBE) ambapo hawa ni TOTs kwenye mambo ya HIV/AIDS. MAFANIKIO Watu 35 wamepatiwa elimu ya ujasiliamali ambayo itawasaidia katika kubuni biashara na kuziendesha na kuzisimamia kitaalam. Mafanikio mengine tuliyoyapata baada ya mafunzo ya awali ni kwamba wanachama wa NURUCLUB wamepata mwamko na wameanza kuomba tufanye utaratibu wa kuanzisha mfuko wa vicoba. MATATIZO YALIYOJITOKEZA Wenzetu wa wilaya ya Temeke waliweza kudai kushiriki kwenye mafunzo kwani wote ni wanachama wa NURU.. MAMBO TULIYOGUNDUA. Tuligundua kwamba watu wengi wanaendesha biashara zao bila utaalamu kitu ambacho kinapelekea biashara nyingi kutokuwa endelevu au kuyumba yumba. Pia tumegundua watu wanategemea kupata mitaji mikubwa ili waweze kuendesha biashara,kumbe biashara huweza kuanza kwa mtaji mdogo na kuendelea kukua hadi mtaji uwe mkubwa Vilevile tumebaini ya kwamba wengi hawana mitaji kwa ajili ya biashara, wengi wanabangaiza ,kutokana na mafunzo haya tumegundua kwamba wakiwezeshwa wataweza kuendesha biashara kitaalamu zaidi. MATARAJIO YETU; Kuona kwamba watu wanaoishi na VVU/UKUMWI wanakuwa na uwezo wa kuanzisha na kusimamia biashara zao kwa lengo la kupunguza umaskini ambapo hali hiyo itachangia kupunguza hali ya utegemezi ambayo mara nyingi husababisha unyanyapaa. Vilevile tunatarajia kwamba watu wanaotumia ARVs watakuwa na uwezo wa kupajipatia chakula cha kutosha ambapo kitasaidia katika kutumia dawa vizuri na kuimarisha afya zao,watakuwa wafuasi wazuri wa dawa kutokana na elimu waliyopata. Na pia nguvu kazi ya Taifa itaongezeka. Pia tunatarajia kwamba elimu tuliyofundisha itawasaidia kwenda kutafuta mikopo sehemu mbalimbaali kwa lengo la kuimarisha mitaji yao na kuweza kuisimamia vizuri, biashara zao Pia tunatarajia kuanzisha mfumo wa benki ya Jamii VICOBA kwa lengo la kusaidia kuondokana na ugumu wa upatikanaji wa mikopo kutoka kwenye mabenki mengine ambayo yana masharti magumu. MABADILIKO YALIYOJITOKEZA. Mwanzoni tulikuwa tumelenga kutoa mafunzo kwa watu 75,lakini kutokana na sababu tulizozieleza hapo mwanzo hatukufikia idadi hiyo, hivyo tulifanikiwa kufikia watu 45,na wale waliobakia 35 ndio tumewapatia mafunzo sasa. |
Light CLUB REPORT OF THE TRAINING OF THE UJASILIA MALI May 2010 CONTENTS 1. Introduction Second goal of the project 3 Objectives 4 Targeted. 5 Recognition of the participants. 6. Topic zilizofundishwa 7. Facilitators 8. Success. 9. Raised problems / challenges. 10 things we learned / discovered. 11. Expectations. 12 Pages generated Light Light CLUB . THE RIGHTS OF capita REPORT OF THE TRAINING OF MALI UJASILIA FOR PEOPLE 35 YALIYOFANY ika KIWALANI MAY 2010 Introduction Light Club is an organization of people living with HIV / AIDS, this organization is a member on a project to implement the rights of citizens and agency AMREF oisimamiwa under the sponsorship of the organization known as the UK DFID. This project is being conducted in three wards that are located Kiwalani Ilala, Tandale and existing Manzese in Kinondoni district. This training is a continuation of the training held last year where we should provide training to 75 but we could not reach that number because the money was set aside on the activity became restricted to ikutosheleza so we had to maafunzo for people 45 and those who remain 35th We have trained in the last quarter to reach a population that reached 80. MAIN GOAL OF THE RIGHTS OF capita: It is improving access to health care, treatment and care for people living with AIDS and those who VVUna AIDS affected women in particular, the deaf and those who do business of sex. In implementing this project non-light studies conducted two days of the ujasilia property to 35. This training took place in the county KIWALANI where participants were from the county are sika.Tuliweza teach 25 women and 20 men The main objective of Entrepreneurship-STUDIES PLWHAs building capacity to manage and operate small businesses in order to help get rid of using rasilimaili and economic opportunities available to credit midomidogo example. Another objective is capacity building so they have strategies to design and Help to manage their projects. OBJECTIVES OF TRAINING; PLWHAs capacity building and various techniques to explore, develop and implement their business expertise. Direct beneficiaries It's people living with HIV and AIDS from the county 3 Tandale, Manzese and Kiwalani where is the project kotekelezwa.Uchaguzi the participants of this training was more focused to those who have their business small, so they can get training and be able to run their businesses more efficiently. Diagnosis ULIVYOFANYIKA share. Light CLUB conjunction with leaders of PTCs sub-12, we can analyze from the notebook of the names of members of the organization and our success to get the names of all participants in equal proportion in accordance with section project kolenga.Utaratibu this we have many days and has been a good progress to Register our contains the name of every member, her phone number, county and district he came from. TRAINING happened. NURUCLUB organized training ujasilia property for two days and we teach people to 35, including 20 women and 15 men. TOPIC ZILIZOFUNDISHWA. 1.Jasilia property is? Here we enable the workshop to understand who they are wajasilia property where we saw a general term entrepreneurship refers volunteers, accepting introduce new activities that are creative and inventive. 2.Kwa why people are wajasilia property? Tuliwawezesha know the reasons that prompt people wajasilia properties where we find it to raise incomes and alleviate poor living conditions . What 3.Jinsi mjasilia property here that we educate about the character wajasilia property where such behavior is confident of themselves, a position, creative and innovative, compelling and capable of changing plans and malengon 4. The concept or idea of the beautiful property ujasilia Waliwezeshwa how to identify and develop various methods kiujasiliamali 5.Hatua to follow that person to be mjasilia property. Here they were enabled to realize the various steps to follow to be wajasilia property TRAINING OF FACILITATORS This training yaliwezeshwa the following: - 1 Elizabeth sangu Advisor / tot 2. Fortunata Lyuki Advisor / tot |
Translation History
|