Base (English) |
Kinyarwanda |
 | Mkuu wa mkoa Mbeya Abasi Kandoro akihutubia baadhi ya wafanyabiashara na watumishi mbali mbali waliyohudhuria siku ya maadhimisho ya mlipakodi yaliyofanyika katika viwanja vya soko kuu mwanjelwa |
 | Kaimu meneja wa TRA mkoa wa mbeya bwana Mukama akimkaribisha mgeni rasmi mkuu wa mkoa mbeya |
 | Mwenyekiti wa wafanya biashara mkoa wa mbeya Mzava akisoma risala ya wafanyabiashara wa mkoa wa mbeya |
 | Baadhi ya wafanyabiashara na watumishi wa TRA wakimsikiliza mkuu wa mkoa mbeya |
 | Wafanyabiashara ndogondogo AKA WAJASIRIAMALI WA KATI wakimsililiza mkuu wa mkoa mbeya KUTOKA MBEYA YETU BLOG
|
|
|