Base (Swahili) | Kiswahili |
---|---|
TUMEPATA ELIMU YA KUJIUNGA NA TOVUTI YA ENVAYA LEO TAREHE 18/05/2011 MAFUNZO MAZURI TUMEFURAHI KUYAPATA TUNAWASHUKURU WALIOTUWEZESHA KWANI WAMETUPATIA KITU KIPYA AMBACHO HATUJAKITEGEMEA TUNAWASHUKURU SANA. |
(Not translated) |