Envaya

Translations: Kiswahili (sw): User Content: WI0005CFCEFAB88000022334:content

Base (Swahili) Kiswahili

Kushiriki katika kampeni mbalimbali ikiwemo:

1) Kupambana na maambukizi mapya ya HIV/AIDS.

2) Kuhamasisha utunzaji wa mazingira.

3) Kutoa elimu ya utungaji na utumiaji fasaha wa Lugha ya kiswahili.

4) Kufanya mashindano ya utungaji na usomaji wa mashairi na ngonjera pia michezo ya kuigiza.

5) kampeni za kiafya kama kifua kikuu, kipindupindu na malaria.

(Not translated)

In order to edit translations, you need to log in. Log in · Register