Base ((unknown language)) |
Kiswahili |
 | Mh John Momose Cheyo akisaini kitabu katika ubalozi wa Tanzania nchini Uingereza kulia kwake ni Balozi wa nchi hiyo Mh Kalaghe |
 | Mh John Cheyo Momose a.k.a Mapesa akisalimiana na Baraka Baraka wa Urban PALSE baada ya mahojiano katika ubalozi wa Tanzania nchini Uingereza |
|
|
 | Frank kushoto, Cheyo katikati na Mh Balozi Kallaghe kulia wakibadilishana mawili matatu |
 | Balozi Kallaghe akiwa kwenye pozi na Mh John Momose Cheyo baada ya kufika ubalozini hapo | | Pichazote na urban palse |
|
|
|