Fungua

Tafsiri: Kiswahili (sw): Maandiko ya Watumiaji: WI000CA547B37B8000055504:content

« Iliyotangulia   ·   Ifuatayo »
Asili ((unknown language)) Kiswahili


IMG_0083.JPG
Naam Wdau!
Msikose kuangalia kipindi maridadi kabisa cha FAMILY FULL MAPESA kupitia STAR TV kila JUMAPILI SAA 12:30 - 1:00 JIONI. Hiki ni kipindi cha kifamilia ambacho watu wanapata bahati ya kushuhudia maswali na majibu kibao yanayolenga kuelimisha, pamoja na kuburudisha jamii.

Pia, mnaweza kufuatilia video clips na picha mbalimbali za kipindi hiki kupitia blog ya http://sahihientertainment.blogspot.com/ na kule facebook kupitia page ya http://www.facebook.com/pages/Family-Full-Mapesa/120814421336966 . Pia, usisahau ku-like page yake facebook kama unavutia na hiki kipindi.

Na mwisho kabisa, jisikieni huru kuwasiliana nami kupitia rogart.mmole@gmail.com au rmmole@hotmail.com kwa maoni, mapendekezo, maswali,na hata makosoaji yanayohusu hiki kipindi.

Ahsanteni

Rogart Mmole
FFM Producer/Host
(Bila tafsiri)

Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe