Envaya

Suala la Kunufaisha Wananchi wa Mtwara kwenye rasilimali ya gesi ya gesi asilia.

DOLI FOUNDATION (Mtwara - Tanzania.)
6 Februari, 2013 23:52 EAT

Ndugu zetu wapendwa tunawakaribisha kutoa maoni maoni yenu juu ya ni nini kifanyike ili kuhakikisha kuwa gesi asilia iligunduliwa hapa Mtwara - Tanzania inawanufaisha wananchi wa Mikoa ya Mtwara na Lindi na Taifa kwa ujumla.

Tuma maoni yako kwa anuani ya barua pepe ambayo ni dolif.headofficetz@gmail.com

Maoni haya yatapelekwa kwenye Kamati ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inayoshughukia rasilimali za Taifa.

Ndg. Aloyce Mbuya

Naibu Katibu Mkuu

Doli Foundation - Tanzania.


Ongeza Ujumbe Mpya (Ficha)

Jina lako:
Mahali ulipo:
Email yako:
(sio lazima)
Anwani yako ya email haitachapishwa.