Ndugu zetu wapendwa tunawakaribisha kutoa maoni maoni yenu juu ya ni nini kifanyike ili kuhakikisha kuwa gesi asilia iligunduliwa hapa Mtwara - Tanzania inawanufaisha wananchi wa Mikoa ya Mtwara na Lindi na Taifa kwa ujumla.
Tuma maoni yako kwa anuani ya barua pepe ambayo ni dolif.headofficetz@gmail.com
Maoni haya yatapelekwa kwenye Kamati ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inayoshughukia rasilimali za Taifa.
Ndg. Aloyce Mbuya
Naibu Katibu Mkuu
Doli Foundation - Tanzania.