Fungua
Upendo Group

Upendo Group

Area A kata ya chamwino, Tanzania

Lengo kuu ni kufuga kuku na kutengeneza unga wa lishe kwa ajili ya kujipatia kipato na kuboresha afya zetu kwa wanawake wanaoishi na virusi vya ukimwi.