Mtaalamu wa masuala ya Katiba na sheria pamoja Mkurugenzi mtendaji wa YAD wakitoa tathmini ya mafanikio ya mkutano wa baraza la katiba la YAD mbele ya Afisa kutoka the Foundation.
Wajumbe wa baraza la katiba la YAD wakiwa katika makundi na wanajadili aina na muundo wa muungano.
Mjumbe wa baraza la katiba la YAD akiwakilisha maoni ya kikundi chao juu ya rasmu ya katiba.
Mkurugenzi wa YAD akihojiwa na waandishi wa habari ili atoe msimamo wa vijana katika utoaji wa maoni kwenye mchakato wa kupata katiba mpya.
Picha ya pamoja wajumbe wa YAD pamoja na Waziri mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Mizengo Pinda wakiwa katika viwanja vya Bunge Dodoma.