Fungua
ZINDUKA KILWA

ZINDUKA KILWA

KILWA KIVINJE, Tanzania

PILI M KULIWA Afisa mipango na mahusiano wa zinduka kilwa

tunawashukuru envaya kwa kutuwezesha kupata tovuti

 

ahsanten

1 Julai, 2011

Maoni (7)

ZINDUKA KILWA alisema:
tunawashauli mtutembelee wilayani kilwa kwa ajili ya kukutana na asasi nyingine zenye uhitaji huu
1 Julai, 2011
PILI M KULIWA (KILWA KIVINJE-MKOA WA LINDI TZ) alisema:
zinduka kilwa bado ipo hai,japokuwa inauhaba wa fedha ili kufanikisha malengo yake,hivyo tunaomba wahisani na wafadhiri mbalimbali kuja kutujengea uwezo ,pia FCS msituache tusaidieni,kutafuta uwezo.
15 Januari, 2016
PILI M KULIWA (KILWA KIVINJE-MKOA WA LINDI TZ) alisema:
zinduka kilwa tunaofisi japo kuwa si ya kudumu,tuna uongozi,katiba,sera, lakini hatuna vitendea kazi vya kisasa
15 Januari, 2016
PILI M KULIWA (KILWA KIVINJE-MKOA WA LINDI TZ) alisema:
kwa simu napatikana muda wote kwa namba 0786195908/0783309011/0653183540
15 Januari, 2016
pili m kuliwa (kilwa kivinje mkoa wa lindi) alisema:
tunaelimisha jamii juu ya kuelewa madhara ya ukatili wa kijinsia ambapo wilaya ya kilwa bado uelewa juu ya masuala ya usawa wa jinsia ni mdogo.wadau tunaomba ushirikiano wa hali na mali.
29 Januari, 2016
pili m kuliwa (kilwa kivinje mkoa wa lindi) alisema:
bila kuficha tunauhaea wa fedha ili kufikia malengo tunaomba wahisani mtuunge mkono, kwani umoja ni nguvu
29 Januari, 2016
pili m kuliwa (kilwa kivinje mkoa wa lindi) alisema:
asasi yetu inakaribisha wageni wowote pia ushauri au msaada wowote kwetu utusaidia kusonga mbele kimaendeleo
29 Januari, 2016

Ongeza maoni

Jina lako:
Mahali ulipo:
Email yako:
(sio lazima)
Anwani yako ya email haitachapishwa.