Envaya

Jumuiya yetu ilianzishwa hapa  hapa Zanzibar na Vjana waliojiunga na kuamua kusaidia vijana wenzao ili waondokane na Vitendo viovu na kuwafanya wawe Raia wema.