Injira
Africa Upendo Group

Africa Upendo Group

Shighatini,Mwanga,Kilimanjaro, Tanzania

large.jpg

hivi ndivyo vitendea kazi

large.jpg

wanawake na vijana wapo mafunzoni.

large.jpg

Mkurugenzi Neatness Msemo bado anasisitiza jambo.

large.jpg

hapa wanampongeza na kuwapongeza vijana na Mkuu wao.

large.jpg

wanabadilishana mawazo na RPC

large.jpg

Mkurugenzi wa Africa Upendo Group anajieleza kwa RPC jinsi anavyowasadia jamii na kuwalinda kwa kutumia vijana wa mtaani ambao wengi walikuwa hawana cha kufanya ni watukutu lakini kwa masomo mbalimbali wamekubali kubadilika na wamekuwa raia wema..

large.jpg

wasichana wanajitahidi sana kujua computer.