Mkurugenzi wa AUG & ICT4D akiwa na waalimu wa mafunzo mbalimbali hapo katika ofisi yao.Vijana wote wanamalizia Chuo kikuu cha DSM.Kitengo cha Sheria
Vijana wapo katika mafunzo ya kujiamini na ukakamavu.Huyu ni askari polisi ndugu Amos
wanajipongeza kwa kazi nzuri kwa ukumbusho.Hapa wapo Prisca,Fred,Gilbert na Frank wote ni waalimu wa ujasiriamali na ICT
waalimu wamefurahia wanafunzi wao wameamua kujiliwaza kwa kupiga picha ya pamoja.Hapa yupo Chiku,Fred,Gilbert na Prisca