HISTORIA
CDDF Tanzania , ilio na makao makuu yake nansio UKEREWE ,imeanza kuepo tangu January 2012 ;ndipo wanachama walipokusanyika na kuunda asasi hii .
Maono ya kuanzisha asasi yalitoka kwa Ndugu KARIBARA MPAJI GRATIAN ambaye mpaka sasa ni mkurungezi wa asasi hiyo .
Asasi ilipata usajiri wa kitaifa mnamo tarehe 05 / juni / 2012 ; kwa namba ya usajiri NO . 00NGO / 00005616.