Kushirikisha jamii kusaidia watoto yatima na walio katika mazingira magumu
Benson A.Mwang'ombola (MRATIBU WA MRADI)18 Juni, 2011 11:13 EAT
kutoa elimu kwa kamati za kuhuduma za jamii kujua matumizi ya daftari ya fedha
Benson A.Mwang'ombola (MRATIBU WA MRADI)18 Juni, 2011 11:18 EAT (ilihaririwa 26 Machi, 2012 08:06 EAT)
Kutokana na mradi huu tumeweza kushirikisha Halmashauri ya wilaya, watendaji wa kata na madiwani na kupeana mikakati na wajibu wa kila mmoja ili kuhakikisha makundi yalio katika hatari ya kuathiriwa na umasikini yanasaidiwa.
Benson A.Mwang'ombola (MRATIBU WA MRADI)18 Juni, 2011 11:21 EAT (ilihaririwa 26 Machi, 2012 08:06 EAT)
Mikakati yetu kuhakikisha jamii inaelimika na kuanza kuchangia makundi ya kijamii yalio katika hatari ya kuathiriwa na umasikini
Benson A.Mwang'ombola (MRATIBU WA MRADI)18 Juni, 2011 11:23 EAT (ilihaririwa 26 Machi, 2012 08:06 EAT)
Watoto yatima na walio katika mazingira hatarishi wanapata haki za msingi ikiwa ni elimu, afya na huduma nyingine za msingi
Benson A.Mwang'ombola (MRATIBU WA MRADI)18 Juni, 2011 11:26 EAT (ilihaririwa 26 Machi, 2012 08:06 EAT)
Kuhakisha watoto yatima na walio katika mazingira magumu wanaenda shuleni na kuhudhuria masomo
Benson A.Mwang'ombola (MRATIBU WA MRADI)18 Juni, 2011 11:28 EAT (ilihaririwa 26 Machi, 2012 08:06 EAT)
Kuhakikisha watoto yatima na walio katika mazingira hmagumu wanapata huduma ya afya
Benson A.Mwang'ombola (MRATIBU WA MRADI)18 Juni, 2011 11:30 EAT (ilihaririwa 26 Machi, 2012 08:06 EAT)
Ni kuhakikiasha watoto yatima na walio katika mazingira hatarishi wanapata chakula