Maandalizi ya sherehe za kumbukumbu ya miaka 5 ya huduma za ''Shake Hands Youth Organization'' na Taasisi zake katika Jamii kufikia kilele chake-Desemba, 2012, tangu kuanzishwa kwa Taasisi hii katika jamii ya Watanzania.
"TANGAZO MUHIMU SANA"
MENEJIMENTI YA "SHAKE HANDS YOUTH ORGANIZATION" INAWATANGAZIA WATANZANIA WOTE WENYE KIPATO CHA KAWAIDA KUWA TUMEANZA KUANDIKISHA WATOTO WANAOTAKA KUJIUNGA NA MAFUNZO YA "PRE-FORM ONE" KATIKA SHULE YETU YA "RAFIKI KNOWLEDGE SECONDARY" ILIYOPO ENEO LA TABATA SHULE.
GHARAMA ZA MASOMO NI TSHS.40,000/= KWA MIEZI(3) NA TSHS.14,000/= KWA KILA MWEZI KATIKA MASOMO 6,AMBAYO NI:-
(i)MATHEMATICS (HESABU)
(ii)ENGLISH(KIINGEREZA) & ENGLISH COURSE
(iii) PHYSICS
(iv)BIOLOGY
(v)GEOGRAPHY
(vi)COMPUTER KOZI KWA WIKI (3) ZA MWISHO WA MWEZI DESEMBA.
MASOMO YATAANZA TAR:24 Septemba,2012. Karibu ujiandikishe.
PIA TUMEANZA KUANDIKISHA WANAFUNZI WANAOTAKA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA KWA MWAKA-2013.
FOMU ZA KUJIUNGA NA FOMU ONE ZINAUZWA TSHS.5,000/=TU,FOMU HIZI ZINAPATIKANA HAPAHAPA SHULENI.
TUNAPOKEA WANAFUNZI WALIOHITIMU DARASA LA SABA NA KUPATA ALAMA ZA KUANZIA 50-100.
MALIPO YETU YA ADA NI KIDOGO SANA (TSHS,390,000/=)KWA MWAKA.
ADA HII UNAWEZA KUILIPA KATIKA NJIA ZIFUATAZO:-
(i) AWAMU MBILI(January=195,000/=na July=195,000/=), AU
(ii)AWAMU TATU(Jan=130,000/=, April=130,000/= na July=130,000), AU
(iii)MALIPO YA KILA MWEZI=(50,000/=) hadi Mtoto ahitimu elimu yake ya Sekondari kidato cha Nne.
Kumbuka kuwa hatufanyi biashara ila tunatoa huduma katika jamii na kumrahisishia mtoto wa mnyonge kiuchumi kupata elimu ya sekondary.
Pia tunasomesha yatima wenye nia ya kusoma na ikiwa watathibitika kuwa ni yatima kweli.Kipaumbele kimetolewa kwa wasichana.
TUITION KWA MASOMO YOTE ZINAPATIKANA HAPA RAFIKI KNOWLEDGE SECONDARY KWA BEI NAFUU KATIKA KILA SOMO NI TSHS.5,000/=kwa mwezi.
Kwa mawasiliano, Tupigie kwa Na:0718 867 520 au 0767 867 520-Mkuu wa Shule.
This lady with a child came to the office of Shake Hands Youth Organization while seeking for a help after been chased away from her bosses's home where she worked as a house girl but as she got birth of her fist born,her boss chased her out with her child whereby she used to sleep outside at Tabata market,as a result of this tragic event,she came to our office seeking for any support so that she may return back at her home place in Morogoro.The organization's management through the Executive director,Mwl.murasi Abraham Joseph(left)succeeded to support her the transport fare and some amount for food up to kilombero-morogoro to her mother land home.(see the above photos).
The Executive Director of "Shake Hands Youth Organization"Mwl.Murasi A. Joseph,chilling in his office.(both photos reflect the event as you can see).
Rehema Othman(right)with her child as she claimed to be chased with her boss where she worked as a housegirl, meeting the Executive Director of Shake Hands Youth Organization(left) in his office for any useful support.