Fungua
MWELA THEATRE TAWI LA VUGA

MWELA THEATRE TAWI LA VUGA

WILAYA YA LUSHOTO KATA YA VUGA , Tanzania

large.jpg

wa pili kutoka kushoto ni muhasibu wa mwela tawi la vuga ndugu Hassani Sheshe akiwa na Raisi Jakaya Mrisho Kikwete

large.jpg

wanafunzi wa shule ya bazo kata ya vuga wilaya ya lushoto whasubui na mapema wakienda kuchukuwa kuni kwa matumizi ya chakula chao cha mchana

large.jpg

mwenyeki wa mwela theatr group akiwa katika mgahawa akila chakula cha Asili ya Kisambaa unaojulikana kwa jina la bada kushoto ni muhasibu wa mwela Hassani sheshe

large.jpg

mwenyekiti wa mwela theatre group Fikiri mvugaro akionyesha ujumbe wa kuwataka wananchi kushiriki katika serikali za mita/vijiji ujumbe ambao ulikuwa katika kradi wa utawala bora uliofadhiliwa na Foundation for Civil Society na sasa mwela inauendeleza katika mikoa ya pwani na tanga kwa kuchapisha frana na kuzigawa kwa matawi yake tawi la mwela vuga na mwela pwani

large.jpg

katibu wa Mbunge akiwa na mwenyekiti wa mwela theatre vuga Salimina magogo

large.jpg

mwenyekiti wa mwela tawi la vuga Salimina magogo akikabidhi taalifa ya mwela kwa katibu wa Mbunge januari makamba.wakati alipokuja kutembelea Asasi za kirai na kujua mambo mbalimbali na shughuli zao

large.jpg

Kushoto ni mwenyekiti wa Mwela makao makuu fikiri mvugaro.katikati ni katibu wa mwela tawi la vuga sikudhani na kulia ni mwenyekiti wa mwela tawi la vuga Salimina magogo wakiendesha mdahalo wa vijana

large.jpg

Mwenyekiti wa mwela tawi la vuga Salimina magogo akiwa na katibu wake sikudhani wakati wakiwa kwenye mjadala katika ukumbi wa vuga

large.jpg

mwenyekiti wa mwela Salimina magogo akiwa na wageni kutoka Asasi ya CHAMAKIVU na bwana shamba wa wilaya ya lushoto