Uru rupapuro ruragaragazwa mu rurimi rw'umwimerere Igiswayire. Edit translations
Ndugu Ramadhan joel-Mkurugenzi wa NYDT-akitoa neno na Kumkaribisha Mwakilishi wa Mkuu wa wilaya ya kasulu ili afungue workshop
Ibitekerezo (0)
Afisa afya wakwanza kushoto akiwa na mwakilishi wa IRC-katika semina ya Miso-wakimsikiliza DAS
Baadhi ya wanawake walioshiriki semina.Hawa wametoka vitongoji mbalimbali vya Kata ya Nyakitonto,wilaya ya kasulu.
Kulia ni Mwakilishi wa Mkuu wa Wilaya ya Kasulu,Ndg Simoni m Nhumbi,akiwa na Mkurugenzi mtendaji wa NYDT-Tayari kwa kuanza Workshop ya Kutoa taarifa sahihi za misoprostol.Tarehe 04/07/2012.IRC_CAMPUS_NYAKITONTO.
Ramadhan joel.Mkurugenzi wa NYDT akiwa ktk mafunzo ya utalii na uhifadhi yaliyotolewa na Gombe National Park.
Huyu ni Mwalimu Deus Mbululo wa Kitongon sekondari akiandika dondoo za mafunzo.