Uru rupapuro ruragaragazwa mu rurimi rw'umwimerere Igiswayire. Edit translations
Shirika la SAIDIA JAMII KUISHI (SAJAKU) linaongozwa na Mwenyekiti Ndugu Kharifa Rashidi Muhidini,Makamu mwenyekiti Siri Mohamed Saidi,Katibu Mtendaji Ndugu Nashir Mfaume Pontiya,katibu msaidizi ndugu Asha Shaibu Chikuyu na Mweka hazina Ndugu Hamisi M.Hamisi