Envaya
Uru rupapuro ruragaragazwa mu rurimi rw'umwimerere Icyongereza. Edit translations
Washema kwa kushirikiana na LHRC waliendesha huduma ya kisheria ya kuhamahama (mobilelegalaid)mjini Masasi kuanzia tarehe22-26/9/2014.
Wasaidizi wa kisheria Masasi(WASHEMA) ni asasi ya usaidizi inayotoa huduma za kisheria(paralegals).Asasi hii imeanzishwa mwezi Mei mwaka 2013.Ina wanachama 20 waliopatiwa mafunzoya usaidizi wa kisheria na kituo cha sheria na haki za binadamu LHRC.